REGROW YAPONGEZWA UJENZI KITUO CHA UTAFITI WANYAMAPORI KIHESA KILOLO
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imepongezwa kwa kuendeleza jitihada mbalimbali za kuboresha miundombinu katika sekta ya Utalii nchini ambapo kwa sasa kupitia mradi wa REGROW inatekeleza ujenzi wa Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Tanzania TAWIRI Kihesa Kilolo kitakachosaidia hifadhi za Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini. Mhandisi Mshauri na Meneja wa Mradi huo…