PUMA ENERGY TANZANIA YASHINDA TUZO KITUO BORA CHA MAFUTA KINACHOFIKIKA NA KUPATIKANA KWA URAHISI ZAIDI NCHINI
Kampuni ya usambazaji na uuzaji wa huduma na bidhaa za nishati ya Puma Energy Tanzania imetwaa tuzo ya Kituo Bora cha Mafuta kinachofikika na kupatikana kwa urahisi zaidi Tanzania katika tuzo za Consumer Choice Awards Africa (CCAA) 2024 zilizofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa The Super Dome – Masaki, jijini Dar es Salaam….