Maabara ya utafiti wa madini kujengwa Geita, manufaa yatajwa
Geita. Serikali imeanza utekelezaji wa ujenzi wa maabara ya kisasa ya utafiti wa madini mkoani Geita, itakayohudumia mikoa saba ya kimadini katika Kanda ya Ziwa ambayo ni Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Shinyanga, Kahama na Mara. Maabara hiyo inayotarajiwa kuwa kituo cha umahiri wa huduma za kimaabara inajengwa kwa gharama ya Sh3.5 bilioni na ujenzi wake…