SBL Wakutana na Waziri wa Kilimo Chongolo Kukuza Kilimo
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo Kwenye Picha ya Pamoja na Uongozi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Na Neema Adrian Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jana ilikutana na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, katika kikao cha kimkakati kilicholenga kuimarisha mnyororo wa thamani wa kilimo nchini, kuwawezesha wakulima na kuchangia maendeleo ya viwanda na…