ONGEA NA ANTI BETTI: Hapa kuna ndoa au ananihadaa?

Nina uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu na tulipanga mwishoni mwa mwaka huu nikatoe barua kwao na taratibu nyingine ili mapema mwakani tufunge ndoa. Ila nimepata taarifa ana mume na hajawahi kuniambia, si taarifa tu bali hadi picha wakiwa wanafunga ndoa kanisani nimeonyeshwa, ninashindwa kumuuliza atasema ninasikiliza maneno ya watu na ninampenda nahofia kumkosa iwapo…

Read More

Mlandege yatuma salamu kwa Wahabeshi, yambeba Baresi

KATIKA kuhakikisha inafanya vyema katika Ligi ya Mabingwa Afrika, mabosi wa Mlandege wamemuongeza kocha Abdallah Mohamed ‘Baresi’ katika benchi la ufundi la timu hiyo. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Zanzibar imekata tiketi ya michuano tangu 2021 ikipangwa kukutana na Ethiopia Insurance ya Ethiopia kati ya Septemba 19 wataanzia ugenini. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha wa Mlandege,…

Read More

Ari ya kibiashara Ujerumani yashuka kwa miezi minne – DW – 24.09.2024

Ari ya biashara nchini Ujerumani imeshuka kwa mwezi wa nne mfululizo mnamo Septemba, kulingana na uchunguzi uliofanywa huku taifa hilo lenye nguvu kubwa kiuchumi barani Ulaya likijitahidi kujikwamua kutoka mdororo wa uchumi. Faharasi ya taasisi ya Ifo iliyofanya utafiti wa makampuni takribani 1,000 inaonyesha kuwa shauku ya biashara imeporomoka asilimia 85.4 kutoka 86.6 mwezi Agosti….

Read More

Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

Dar es Salaam. Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo. Mtaalamu wa…

Read More