Dar City imejipanga | Mwanaspoti
DAR City kwa sasa ndiyo habari ya mjini kwenye mchezo wa mpira wa kikapu na katika kuhakikisha inazidi kuimarika, kimya kimya imeshusha majembe wapya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano itakayoshiriki. City ambao ni mabingwa wa Ligi ya Kikapu ya Taifa (NBL), iliwasajili wachezaji hao mapema na tayari wameshaichezea kwenye michuano ya Afrika Mashariki….