Aina tano za saratani zinazosumbua zaidi Kanda ya Ziwa
Dodoma. Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa, ambazo ni saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake, kibofu cha mkojo, damu, macho na figo. Hayo yamesemwa leo, Jumatatu, Aprili 14, 2025, na Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel, akiwa bungeni wakati akijibu swali la msingi la mbunge wa Viti Maalumu, Kabula…