Azam FC yatua kwa Mkongomani
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa rasmi Januari Mosi, 2026, uongozi wa Azam unaangalia uwezekano wa kuipata saini ya beki wa kulia wa AS Vita Club, Mkongomani Henoc Lolendo Masanga, ili kuongeza ushindani wa nafasi. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata, zinaeleza uongozi wa Azam unaangalia uwezekano wa kupata saini ya beki huyo mwenye miaka 21,…