Wataalamu wasisitiza Afrika kuunganisha nguvu kufungua fursa za nishati
Cape Town. Wataalamu wa nishati wamesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuunganisha nguvu kama mkakati muhimu wa kukabiliana na changamoto sugu za nishati na kufungua fursa zilizopo katika sekta hiyo. Wakizungumza katika Mkutano wa Nishati Afrika (Africa Energy Forum) unaoendelea jijini Cape Town, Afrika Kusini, ambao unahudhuriwa na washiriki takriban 6,000 wakiwemo viongozi kutoka sekta…