OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI NA CLYDE &CO AFRIKA KUSHIRIKIANA KUWANOA MAWAKILI
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Samwel M. Maneno amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya Kimataifa ya uwakili ya Clyde & Co Afrika kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kufungua fursa ya mafunzo kwa Mawakili wa Serikali. Naibu Mwanasheria Mkuu amekutana na ujumbe huo tarehe 25 Julai, 2025 katika Ukumbi wa Ofisi…