Bado Watatu – 14

Hebu fikiria kuwa wewe ni mpelelezi. Kuna mtu amenyongwa na wasiojulikana, lakini aliyenyongwa siku hiyo, ndiye yule ambaye alishanyongwa hadi akafa miaka miwili iliyopita kwa hukumu ya mahakama kutokana na kosa la kuua! Uchunguzi wa polisi unaonyesha kuwa mtu aliyegunduliwa amemnyonga mwenzake naye alishauawa kwa kunyongwa miaka miwili ilipita!

Read More

Usiku wa Mabingwa: Bashiri, Ushinde, Shinda Maokoto!

Je unajua kuwa leo hii usiku wa Ulaya unaanza?. Timu mbalimbali kutoka Mataifa mbalimbali zinachuana vikali kusaka pointi tatu muhimu. Leo hii kuna Arsenal. Real Madrid, PSV na wengine wengi. Wewe chuana na Meridianbet kupata ODDS za kibabe na ubashiri sasa. Wababe wa Ulaya Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kumenyana vikali dhidi ya Olympique Marseille…

Read More

Mtasingwa kiroho safi Azam | Mwanaspoti

KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Adolf Mtasingwa amesema licha ya timu hiyo kushindwa kufikia malengo kwa msimu huu ikiwamo kung’olewa mapema katika Kombe la Shirikisho (FA) na ile ya CAF, kwa upande wake ulikuwa msimu bora. Azam iliyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ilitolewa katika raundi ya kwanza na APR ya Rwanda, kisha ikang’olewa hatua ya…

Read More

MKUTANO WA TISA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI TICAD WAHITIMISHWA JIJINI YOKOHAMA

 :::::::::  Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development) umehitimishwa jijini Yokohama, Japan, tarehe 22 Agosti 2025, baada ya siku tatu za majadiliano yaliyoendeshwa chini ya kaulimbiu ya “Kuibua Uvumbuzi wa Pamoja na Afrika.” Mkutano huo ulifungwa rasmi na Waziri…

Read More