Kiwanda cha Saruji ya Mbeya kufanyiwa maboresho ,Tanga kujengwa kiwanda kipya
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu akizungumza kuhusiana na Uwekezaji wa Maboresho na Ujenzi wa Kiwanda Tanga ,jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya AMANSOS Ahmed Mhada akizungumza kuhusiana na dhamira ya kufanya uwekezaji katika viwanda vya Saruji,Mbeya na Tanga. *Msajili wa Hazina asema ni mageuzi ya uwekezaji chini Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan…