WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI KUELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA NJE
::::::: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mkutano maalum na wamiliki pamoja na wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kueleza mwelekeo mpya wa Wizara pamoja na matukio muhimu yatakayojiri katika mwezi Mei 2025. Mkutano huo umefanyika jijini Dar es Salaam…