Wakulima 5,000 kunufaika na mradi wa kilimo rafiki Geita
Geita. Zaidi ya wakulima 5,000 kutoka katika kata tatu za Butundwe, Kagu na Nyawanzaja zilizopo Wilaya ya Geita mkoani Geita wanatarajia kunufaika na kilimo rafiki kitakachowasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuvuna mazao mengi zaidi. Wakulima hao watajengewa uwezo wa namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kupatiwa mbegu bora zinazostahimili ukame, pamoja…