NIONAVYO: Soka la kununua bila kuuza halina tija

SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja na klabu. Lengo la utaratibu huu siyo tu kuondoa ‘fedha chafu’ kwenye soka, pia kuhakikisha kuna utamaduni unaofanana katika matumizi ya fedha bila kujali klabu kubwa na ndogo. Katika utaratibu…

Read More

Dk. Mwigulu aongoza mamia kuaga mwili wa mtumishi wa TRA

  WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uharifu na kuepuka kujichukulia Sheria mkononi kwani sio jambo nzuri. Anaripoti Mwandish Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Dk Nchemba ametoa kauli hiyo Jijini Dar es salaam mapema leo Desemba 8, 2025 wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mtumishi wa Mamlaka ya…

Read More

Dk Kitine azikwa, Jaji Warioba aeleza atakavyokumbukwa

Dar es Salaam. Mwili wa Dk Hassy Kitine, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) umezikwa, huku waombolezaji wakieleza watakayoyakumbuka kutoka kwake, ukiwamo uzalendo wake kwa Taifa. Dk Kitine (82) aliyefariki dunia akiwa usingizini usiku wa kuamkia Julai 25, 2025 akiwa nyumbani kwake Oysterbay, amezikwa leo Julai 26 katika makaburi ya…

Read More

Wanawake waongoza mikopo kidijitali | Mwananchi

Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza nchini, wanawake wanamiliki akaunti za mikopo ya kidijitali nyingi zaidi kuliko wanaume, jambo linalowafanya kuwa wakopaji wakuu katika sekta ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi. Takwimu mpya kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Ofisi za Taarifa za Wakopaji (Credit Reference Bureaus) zinaonesha idadi ya akaunti za…

Read More

TBS Yakaribisha Wadau kuthibitisha Ubora wa Mifumo

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau mbalimbali kuchangamkia huduma ya uthibitishaji wa mifumo (Syestem Certification) inayotolewa na shirika hilo kwa gharama nafuu. Aidha, shirika hilo limewataka wadau hao kufika kwenye banda la TBS lililopo kwenye Maonesho ya 49 Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa au…

Read More

Mbeya City yafuata beki Zenji

TIMU za Tanzania Bara zinaendelea kuvuka maji kuja visiwani Zanzibar kufanya usajili wa wachezaji kuboresha vikosi vyao kwa lengo la kujiandaa na msimu ujao wa 2025-26 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Baada ya Yanga na Tabora United, sasa ni zamu ya Mbeya City kutua visiwani hapa kwa ajili ya kusaka saini ya beki wa KVZ,…

Read More