Ngao ya jamii 2024, huku moto kule balaa
COASTAL Union itakuwa timu mwenyeji kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 10:00 jioni. Timu hiyo iliyo chini ya kocha David Ouma inatarajia kushuka kwenye dimba hilo ikiwa na kumbukum-bu mbaya ya kupata kichapo cha mabao 3-0 kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jijini…