'Imani na heshima' hulisha mafanikio ya kukua kwa mpunga wa dini tofauti nchini Ufilipino – Masuala ya Ulimwenguni

Chama cha ushirika cha Liton, Kibales, Magatos Irrigators Association (LKM-IA) kimeungwa mkono na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo.FAO) kwa ufadhili wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea (KOICA). Jamii hizo zinaishi umbali wa mita mia chache tu karibu na Kabacan katikati mwa kisiwa cha Midanao, eneo ambalo limeshuhudia vurugu za…

Read More

TANZANIA YAPOKEA VIFAA VYA MAABARA VYENYE THAMANI YA EURO MILIONI 1.77 KUPITIA MRADI WA QUALITAN WENYE THAMANI YA EURO MILIONI 7

 Umoja wa Ulaya (EU) umekabidhi rasmi vifaa vya kisasa vya maabara kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya TBS, Dar es Salaam.  Hafla hii ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa QUALITAN unaogharimu jumla ya EUR milioni 7, ikiwa ni sehemu ya mradi mpana wa “BEGIN” wenye thamani ya…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDO MBINU YA ELIMU

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi, Uzio, Majengo ya Utawala na Mabwalo kupitia Miradi mbalimbali. Mhe. Katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na…

Read More

JKCI yawezesha Tanzania kupiga hatua kiuchumi

Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikieleza mafanikio yaliyofikiwa katika sekta ya afya, yakiwamo kupunguza utegemezi wa matibabu ya moyo nje ya nchi na kuongeza mapato ya Taifa kupitia tiba utalii. Maadhimisho hayo yamefanyika leo Agosti 15, 2025 katika Ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo…

Read More