Mrema, wenzake wa G55 kulimwa barua katika matawi yao
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa kichama Ilala, kimewaagiza viongozi wake wa matawi kuwaandikia barua makada wake saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano ya Mambo ya Nje, John Mrema wajieleza kwa nini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kujitokeza hadharani kupinga msimamo wa chama hicho. Mbali na Mrema…