Rwanda yasindikiza majeshi ya SADC kuondoka DRC

Goma. Jeshi la Rwanda limeisindikiza misafara ya majeshi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) yakitoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuelekea Tanzania, kufuatia uamuzi wa kumaliza operesheni ya kijeshi ya SAMIDRC. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Jumanne Aprili 29, 2025 na Msemaji wa Jeshi la Rwanda, Brigedia Jenerali Ronald…

Read More

Taifa Stars hoi nyumbani – Mtanzania

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefungwa mabao 2-0 na DR Congo katika mchezo wa kundi H wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya (AFCON), uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mabao ya DR Congo yamefungwa na Meschack Elia. Mchezo wa kwanza timu hizo…

Read More