WANANCHI MBAGALA WANASWA KWA WIZI WA UMEME TANESCO

…………….. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewakamata baadhi ya wateja wake katika eneo la Mbagala Zakhiem kwa tuhuma za wizi wa nishati ya umeme pamoja na uharibifu wa miundombinu, ikiwemo kuharibu mifumo ya LUKU jambo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za matumizi ya umeme. Akizungumza Agosti 22, 2025 jijini Dar…

Read More

Dabo, Gamondi viti havikaliki | Mwanaspoti

HAKUNA kukaa! Hiyo imewakuta makocha wa Azam FC, Youssouph Dabo na Miguel Gamondi wa Yanga, katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) uliozikutanisha timu hizo na kumaliza dakika 90 bila milango kufunguka kwa kutoka suluhu. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, Zanzibar, makocha hao waliamua kuviacha viti vyao na…

Read More

Tanzania kujizatiti kibiashara soko huru la Afrika

Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amesema Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kwenye biashara nje ya nchi kupitia soko huru barani Afrika.  Ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 24, 2025 jijini Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru…

Read More