SERIKALI YAONGEZA MAFUNZO KWA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI, KUPUNGUZA UHABA WA WATAALAM

Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. Ofisa Elimu Mkoa wa Pwani, Jimmy Nkwamu akizungumza na walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati, wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa walimu hao yanayofanyika wilayani Bagamoyo katika Shule ya Sekondari Bagamoyo. Na Mwandishi wetu, Bagamoyo SERIKALI kupitia Wizara ya…

Read More

Tanzania yataka juhudi za kidiplomasia kumaliza ghasia DRC

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema baada ya juhudi za kijeshi za muda mrefu kutuliza ghasia Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), kwa sasa kunahitajika hatua za kisiasa na kidiplomasia kupata muarobaini wa tatizo. Tanzania imesisitiza umuhimu wa mshikamano wa kikanda katika kulinda amani, usalama na utawala bora ndani ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini…

Read More

Nishati mbadala yatajwa kuwa suluhu ya uharibifu wa mazingira

Tabora. Matumizi ya nishati mbadala yameendelea kutajwa kuwa suluhu ya kudumu ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira na changamoto za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo rafiki kwa mazingira, huku wadau wakihimizwa kuwekeza na kuhamasisha matumizi yake kwa wananchi. Katika muktadha huo, washiriki wa kozi ya 14 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania…

Read More

Sekta ya fedha yawakumbuka wafugaji

Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua akaunti ya mfugaji mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini.  Huduma hiyo ya kwanza kutambulishwa na benki hiyo nchini imeanzishwa maalumu kwa kundi hilo, pamoja na kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kupitia huduma za fedha zilizorahisishwa. Akizungumza Leo Jumapili Juni 2, 2024…

Read More

Mambo matano kutikisa mkutano wa ushirika

Dodoma. Mambo matano yatazua mjadala katika kongamano la kitaifa la wanaushirika Tanzania, ikiwemo jinsi ya kuondoa umaskini. Mengine yatakayojadiliwa ni fursa za uwekezaji katika sekta ya ushirika, kuchochea ukuaji wa uchumi, historia na changamoto za ushirika nchini. Mbali na hilo, Rais Samia Suluhu Hassan atazindua Benki ya Ushirika Tanzania (CBT) Aprili 28, 2025, jijini Dodoma….

Read More

Tato wataka ubunifu katika kufikia malengo ya utalii nchini

Arusha. Chama cha Waendesha Utalii Tanzania (Tato) kimewataka wanachama wake kuzingatia ubunifu katika uendeshaji wa biashara ya utalii ili kukabiliana na changamoto za kisekta na kuchochea uchumi wake. Kwa mujibu wa Serikali, kwa sasa Tanzania inatembelewa na watalii zaidi ya milioni 5.3 kwa mwaka na kuingiza mapato ya Dola za Marekani 4 bilioni huku ikilenga…

Read More

Guede apewa thank you Singida Black Stars 

Maisha ya mshambuliaji Joseph Guede ndani ya klabu ya Singida Black Stars yamefikia baada ya kutupiwa virago. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga klabu yake imetangaza usiku huu kuwa imeachana naye baada ya kudumu kwa miezi mitano pekee. Guede hakuwa na miezi mitano mizuri ndani ya Singida baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa…

Read More