Naibu Waziri Mahundi aipongeza Taifa Stars, kufanikiwa kufuzu kucheza AFCON
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Jumanne 19, November 2024 ilifanikiwa kufuzu kucheza AFCON kwa mara ya nne katika historia baada ya kuifunga Guinea goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 61. Taifa Stars wanafuzu kwa kumaliza nafasi ya pili wakiwa na alama 10, Congo nafasi ya kwanza akiwa na alama 12 wakati…