Vyuo kufunguliwa kuanzia Novemba 17

Dar es Salaam. Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, Serikali hatimaye imetangaza tarehe mpya ya kurejea vyuoni kwa wanafunzi. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iliyotolewa leo Novemba 8, 2025, vyuo vyote vya umma na binafsi vitafunguliwa kuanzia…

Read More

Polisi yawasaka 10 wakihusishwa na vurugu za Oktoba 29

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema linaendelea na msako mkali kuwatafuta wanaotuhumiwa kupanga, kuratibu na kutekeleza matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani uliotokea Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa polisi, Oktoba 29 kulitokea matukio ya vurugu, uporaji wa mali, uvunjifu wa amani katika majiji ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza…

Read More

Tigo yabadili tena jina, yaeleza sababu

Dar es Salaam. Chapa ya kampuni ya huduma za simu ya Tigo Tanzania imebadilishwa  na sasa itakujulikana kwaa jina la Yas. Kampuni hiyo ambayo wakati inaingia nchini miongo mitatu iliyopita ilianza kwa jina la Mobitel kabla ya kuitwa Tigo, imetambulisha jina hilo jipya leo Novemba 26, 2024 jijini Dar es Salaam. Katika tulio hilo lililohusisha…

Read More

Jibu la VVU Ulimwenguni linalokabiliwa na marudio mabaya zaidi katika miongo kadhaa, UNAIDS ONGOR – Maswala ya Ulimwenguni

Kuzindua 2025 yake Siku ya UKIMWI Ulimwenguni ripoti, Kushinda usumbufu, kubadilisha majibu ya UKIMWI. UNAIDS Msaada wa kimataifa umepungua sana, na makadirio ya OECD yanayoonyesha ufadhili wa afya ya nje yanaweza kupungua Asilimia 30 hadi 40 mnamo 2025 ikilinganishwa na 2023. Athari imekuwa ya haraka na kali, haswa katika nchi zenye kipato cha chini na…

Read More

Mamia waipokea Simba uwanja wa ndege mvua ikinyesha

MAMIA ya mashabiki wa Simba  wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), usiku huu kuwapokea wachezaji waliorejea kutoka Afrika Kusini baada ya kuandika historia mpya kwenye soka la Afrika. Kikosi cha Simba kimerudi nchini kikiwa na furaha  kubwa baada ya kufuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya…

Read More

WAZIRI MKUU AENDELEA KUWASHAWISHI WAJAPAN KUWEKEZA NCHINI

 ,::::::: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta za kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Mei 28, 2025) alipokutana kwa nyakati tofauti na viongozi wa Shirikisho la Wawekezaji katika…

Read More

Lissu atoa mwelekeo mpya Chadema

Dar es Salaam. Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema hatokuwa na ndimi mbili kwenye utumishi wake. Lissu amesema hayo leo Jumatano, Januari 22, 2025 baada ya kushinda nafasi ya uenyekiti wa chama hicho akimbwaga aliyekuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe. Katika hotuba yake, Lissu amegusia masuala mbalimbali ambayo uongozi wake utayasimamia…

Read More