Geay aula Berlin Marathon 2025

MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay ni miongoni mwa mastaa 13 ambao wamepewa mwaliko wa kushiriki mbio za Berlin Marathon 2025, Ujerumani. Mbio hizo zitafanyika Septemba 21 na Geay anayeshikilia rekodi ya taifa ya mbio ndefu kwa muda wa saa 2:03:00 aliyoiweka katika Valencia Marathon miaka mitatu iliyopita atashiriki kwa mara ya kwanza….

Read More

Mzize aendeleza rekodi michuano ya CAF

MABAO mawili aliyofunga dakika ya 13 na 20 yaliyoiwezesha Taifa Stars kutinga robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, Clement Mzize kuendeleza rekodi tangu katika michuano inayoendeshwa na CAF. Mzize aliiwezesha Stars kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Madagascar ikiwa ni wa tatu mfululizo wa Kundi B na kutinga robo fainali kwa mara ya…

Read More

Wawakilishi watilia shaka bajeti uchumi wa buluu

Unguja. Wakati bajeti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ikipitishwa, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema bado hawajaona mkakati madhubuti wa kutekeleza sera ya uchumi wa buluu. Bajeti hiyo ya Sh66 bilioni imepitishwa na Baraza Juni 8, 2024 ikiwa na vipaumbele 12. Mwakilishi wa Pandani, Profesa Omar Fakih Hamad amesema wizara hiyo ndiyo…

Read More

Changamoto uchakataji Mkonge kupatiwa ufumbuzi-Bodi ya Mkonge

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mkonge Theobald Bad akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge (TSB) Saddy Kambona wakati Bodi hiyo ilipotembelea Wakulima wa Mkonge mkoani Tanga. Na Mwandishi Wetu CHANGAMOTO ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa…

Read More

Unasihi kwa wanafunzi watajwa kuwa suluhisho la ajira

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na mdondoko wa wanafunzi shuleni na janga la ajira kwa vijana nchini, unasihi kwa wanafunzi umetajwa kuwa suluhisho la kuwaelekeza kwenye ndoto za maisha yao. Hoja hiyo imekuja wakati Serikali ikiboresha mitalaa na Sera ya Elimu ikilenga kuwapa nafasi wanafunzi nafasi ya kuchangua fani za kusomea zitakazowawezesha kujiajiri au kuajiriwa….

Read More

SERIKALI KUIMARISHA USTAWI WA WATU WENYE UALBINO

Na; Mwandishi Wetu – Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuimarisha ustawi wa Watu wenye Ualbino nchini. Amesema kuwa, katika utoaji wa huduma kwa Watu wenye Ulemavu wakiwemo wenye Ualbino, Serikali imehakikisha kundi hilo wanapata haki zao…

Read More