AKILI ZA KIJIWENI: Minziro, Ahmad Ally wajihadhari

MSIMU huu umekuwa na upepo ambao sio mzuri kwa makocha na hadi hapa akili za kijiweni zinapochakata kuna makocha kama 14 hivi wameondoka kwenye timu zao kwa kufungishwa virago. Ni makocha wawili tu ambao wameondoka kwa uamuzi wao binafsi na sio kwa sababu ya matokeo yasiyoridhisha ambao ni Abdi Moalin na Sead Ramovic walioziacha timu…

Read More

Utouh: Changamoto katika ununuzi wa umma tatizo sugu

Dar es Salaam. Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh amesema bado kuna changamoto katika ununuzi wa umma zinazotakiwa kupatiwa ufumbuzi wa kudumu ili kuleta maendeleo endelevu. Kutokana na changamoto hizo, Utouh ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (Wajibu), amesema wameandaa mkutano wa siku mbili utakaofanyika Agosti 6 na…

Read More

CTI yataka sheria nzuri kuwalinda wenye viwanda

Dar es Salaam. Kuwa na sheria nzuri ya kuwalinda wafanyabishara wa viwanda, kumetajwa kuwa ni moja ya vichocheo vya kuongeza kasi ya uwekezaji katika sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Juni 5, 2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) Leodegar Tenga, wakati wa hafla ya kuingia mkataba wa ushirikiano kati…

Read More

Zanzibar yapiga ‘stop’ upigaji makachu Forodhani

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mji Mkongwe Zanzibar imepiga marufuku upigaji wa makachu katika eneo la bustani ya Forodhani, baada ya kudaiwa kufanyika vitendo vinavyokiuka maadili. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo jana Jumapili, Desemba 22, 2024 imeeleza uamuzi huo umefikiwa baada ya kuona kuna ukiukwaji wa sheria, kanuni na miongozo yaliyojitokeza kwa vijana wa makachu…

Read More