Wanayotaka kusikia kwa Rais Samia
Dar/Mikoani. Rais Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Novemba 14 2025 atalizindua kwa kulihutubia ambapo pamoja na mambo mengine, wananchi watarajia kusikia masuala saba. Masuala hayo ni msimamo wa Serikali kuhusu maandamano yaliyozaa vurugu na vifo wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 na mikakati ya kurejesha hali ya kawaida na kuondoa mgawanyiko,…