Sababu Malisa kupelekwa hospitali baada ya kuachiwa kwa dhamana
Moshi. Baada ya Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa kukaa mahabusu kwa zaidi ya saa 24, katika kituo cha polisi Moshi kati, Mkoani Kilimanjaro, Mwanasheria wake, Hekima Mwasipu amesema mteja wake huyo aliugua akiwa mahabusu na baada ya kupewa dhamana usiku wa kuamkia leo Juni 8 alipelekwa hospitali ya KCMC kwa matibabu. Mwasipu…