Tira yabeba ajenda ya bima ya afya kwa wote
Dar es Salaam. Wakati kampuni 40 chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (Tira) zikishiriki Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) mkazo mkubwa umewekwa kuhamasisha umma kuhusu Bima ya Afya kwa Wote (UHI). Vipindi vya elimu vinafanyika kila siku kwenye maonyesho hayo ili kuwasaidia wananchi kuelewa…