Kipa wa Taifa Stars Hussein Masalanga Atua Yanga

Klabu Yanga leo Jumapili, Januari 18, 2026 imetangaza kukamilisha usajili wa kipa Hussein Masalanga akitokea klabu ya Singida Black Stars. Masalanga aliisaidia Taifa Stars kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza na kuandika historia ya kuwa golikipa wa kwanza kucheza hatua ya 16 bora ya michuano…

Read More

Dickson Job atoa kauli ya kibabe CAF

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi mbili zijazo za Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate na Coastal Union, huku nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job akitoa kauli ya kibabe kwa mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika wawakilishi hao wa Tanzania wakiwa Kundi B. Katika mechi hizo za CAF, Yanga imekusanya…

Read More

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA MAKAMPUNI YA UWAKALA WA MELI

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akutana na kuzungumza na Viongozi Makampuni ya Uwakala wa Meli ya Nyota Tanzania LTD (MAERSK Tanzania) na Sturrock Flex Shipping LTD jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yake ametumia fursa hiyo kuwaeleza kuhusu maboresho mbalimbali yanayofanywa na Serikali katika Miundombinu ya Bandari ikiwemo Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na…

Read More

FEZA Boys yafaulisha wanafunzi wote

SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ulifanyika mwaka 2024, huku zaidi ya asilimia 65 wakipata division 1.7. Hayo ameyasema Makamu Mkuu wa Shule ya FEZA Boys, Shabani Mbonde wakati akizungumza na…

Read More

LIVE: Fuatilia hatua kwa hatua upigaji kura Tanzania

Dar/mikoani. Shughuli ya upigaji kura katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kuwachagua madiwani, wabunge na Rais inaendelea huku hali ya utulivu ikitawala. Laurent Mgumba, mkazi wa Temeke, kata ya Nyambwera, jijini Dar es Salaam akionyesha alama ya wino aliyowekewa katika kidole chake baada ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani leo Jumatano,…

Read More