JKT YAIPONGEZA SERIKALI KUENDELEA KUIWEZESHA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE
MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, akizungumza wakati wa hafla ya kuhitimisha zoezi la ufungaji mafunzo ya awali ya Kijeshi kwa Vijana wa kujitolea Operesheni miaka 60 ya JKT katika Kikosi cha Jeshi 822 KJ Rwamkoma wilayani Butiama Mkoani Mara. Na.Alex Sonna-BUTIAMA MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)…