NMB waipiga tafu mashindano ya kimataifa ya Diplomatic Golf.

Benki ya NMB imefanikiwa kukabidhi udhamini wa vifaa vya michezo kwa ajili ya wachezaji 150 wanaotarajia kushiriki mashindano ya kimataifa ya Diplomatic Golf 2024. Michuano hiyo inayotarajia kuanza kutimua vumbi kwa siku mbili kuanzia Septemba 21-22, 2024 katika viwanja vya Kili Golf vilivyoko Mkoani Arusha yana lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watoto…

Read More

Kero ya maji yawatesa wanakijiji Korini Kusini Moshi

Moshi. Wananchi wa Kijiji cha Korini Kusini, kata ya Mbokomu Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kero ya upatikanaji wa maji safi na salama. Wamesema hali hiyo inawafanya wanunue ndoo moja ya maji kwa Sh500, gharama wanayosema hawawezi kuimudu kwa kuwa kipato chao ni kidogo. Wanasema kero hiyo ya maji imedumu kwa muda mrefu bila…

Read More

TACTIC KUONGEZA THAMANI YA MAZAO KWA WAKULIMA WA RUKWA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange(Mb) amesema ujenzj wa soko kuu la mazao ya nafaka eneo la Kanondo Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa ni Mkombozi wa wakulima kwani Soko hilo litaongeza thamani ya mazao na kukuza mzunguko wa fedha mkoani humo. Mheshimiwa Dkt Dugange…

Read More

Akili unde kusaidia matibabu ya afya ya akili

Dar es Salaam. Kutambua hatua za haraka ili kutibu tatizo linalokusumbua ni moja ya njia inayoweza kukusaidia kuwa salama. Lakini baadhi ya magonjwa kama msongo wa mawazo, wasiwasi na matatizo ya kihisia wakati mwingine imekuwa vigumu kuyabaini mwanzoni, ndipo kikundi cha wabunifu vijana kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kilipokuja na suluhisho. Kikundi hicho kinatumia…

Read More

Alhamisi ya Kujiokotea Mkwanja Hii Hapa

BAADA ya kushuhudia mitanange ya ligi ya mabingwa Ulaya, hatimaye ni zamu ya Europa League na Conference ambapo mechi kali zipo uwanjani leo kusaka tiketi ya kufuzu Nusu Fainali leo. Je nani kukupatia mkwanja leo?. Tukianza na Europa, leo hii Manchester United watakuwa Old Trafford kukipiga dhidi ya Olympique Lyon ambapo mchezo wa kwanza walitoa…

Read More

MAJALIWA: VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZINAZOTOKANA NA MAENDELEO YA KIDIJITALI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa. Amesema kuwa vijana wanapaswa kutumia mitandao ya kidijitali kutafuta fursa za masoko na upatikanaji wa bidhaa ili kufanikisha malengo ya kuifanya Tanzania kuwa Taifa lenye maendeleo endelevu kupitia nguvu ya vijana na teknolojia….

Read More