Benki ya NBC yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.5 kwa Serikali, Msajili Hazina Apongeza.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kiasi cha Shilingi bilioni 10.5 kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ikiwa ni gawio kwa Serikali kwa mwaka 2024. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamiliki asilimia 30 ya hisa za Benki ya NBC, hivyo kunufaika moja kwa moja na gawio hilo ambalo limetokana na faida iliyopatikana…