Mashabiki washangazwa Yanga kumtimua Gamondi

Baada ya Yanga leo Ijumaa Novemba 15, 2024 kutoa taarifa ya kumtimua kocha wao Miguel Gamondi bila kutaja sababu, mashabiki wa timu hiyo wamegawanyika katika mitandao ya kijamii. Taarifa ya kuachana na Gamondi pamoja na aliyekuwa msaidizi wake Moussa Ndew imetolewa leo baada ya tetesi kuzagaa wiki nzima na uongozi wa Yanga umesema upo kwenye…

Read More

Ushahidi wa Askofu Chilongani kesi ya Sepeku

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi Central Tanganyika (Dodoma), Dk Dickson Chilongani (59) ameieleza mahakama kuwa alijihisi furaha na huzuni, Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa hilo, hayati John Sepeku alipozawadiwa shamba na nyumba. Dk Chilongani ameieleza hayo Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi leo Agosti 29, 2025, alipotoa ushahidi katika kesi ya…

Read More

Waasi DRC watumia droni kushambulia wakiuwa raia 100, maelfu wakikimbia makazi yao

DRC. Serikali ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) imekemea matumizi ya silaha za maangamizi, zikiwemo ndege zisizo na rubani za mashambulizi, ambazo inadai zimekuwa zikilenga raia katika maeneo mbalimbali ya Mashariki mwa nchi hiyo. Serikali imesema mashambulizi hayo yamesababisha vifo vya watu takribani 100, kujeruhi maelfu na wengine zaidi 200,000 kuhama makazi yao katika…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Mkenya kwenye rada za Yanga

YANGA imeanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji Mkenya, Duke Abuya baada ya mkataba wake na Singida Black Stars kuisha. Nyota huyo aliyejiunga na Singida akitokea timu ya Kenya Police, inaelezwa huenda akatua Jangwani ili kupata changamoto mpya huku Yanga ikiingilia kati dili baada ya awali Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ kumhitaji pia. UONGOZI wa Yanga huenda…

Read More