Tanzania yatoa kauli utafiti ukibaini dawa za saratani bandia, duni Afrika
Dar es Salaam. Kufuatia utafiti mpya ulichapishwa na Jarida la Afya ‘The Lancert Global Health’ umebainika uwepo wa dawa duni na bandia za saratani Afrika, huku Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) ikieleza hatua zinazochukuliwa kufuatia utafiti huo. Utafiti huo uliochapishwa hivi karibuni kupitia jarida hilo, umeeleza dawa zilizochunguzwa kwa nchi ya Ethiopia,…