PROFESA MKUMBO APONGEZA MASHINDANO YA YST, AGUSIA YANAVYOTATUA CHANGAMOTO
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amewapongeza wanafunzi walioshinda katika mashindano ya wanasayansi vijana marufu Young Scientists Tanzania (YST) kwani yanasaidia kupata teknolojia ambazo zitatumika kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa utoaji wa tuzo kwa washindi wa YST Profesa Mkumbo…