Tanzania kuandaa mpango wa vituo vya Teknolojia ya nyuklia-Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali za SMZ na SMT, zimeandaa mpango wa kuongeza vituo vya uchunguzi na matibabu ya saratani kwa kutumia teknolojia ya nyuklia wenye thamani ya Euro milioni 59. Amesema, kupitia mpango huo, Serikali hizo zimedhamiria kuviongezea uwezo vituo vya Ocean Road, Dar es Salaam,…