IGP Wambura: Tumejipanga kuimarisha usalama siku ya uchaguzi
Kilombero. Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi nchini limejipanga kuimarisha usalama na utulivu siku ya uchaguzi, ili wananchi washiriki katika upigaji kura ikiwa ni sehemu ya kutimiza haki yao ya kikatiba. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Jeshi hilo (IGP), Camilius Wambura alipokuwa katika hafla ya utoaji…