Bashungwa awaondoa watendaji Kivuko cha Magogoni – Kigamboni
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wanaosimamia usafiri wa kivuko kati ya Magogoni – Kigamboni na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma kwa wananchi wanaotumia kivuko hicho. Walioondolewa ni Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini, Mhandisi Lukombe…