MAAFISA UNUNUZI WA UMMA WAASWA KUFUATA SHERIA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Kiseo Yusuf Nzowa, akifungua Mkutano wa Kanda ya Kaskazini uliyofanyika mkoani Kilimanjaro, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkutano huo…