Mashirika ya Kiraia Yanayopambana na Vitisho Vipya vya Kibunge na Miswada Mipaka ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Alex Berger Kaskazini Magharibi mwa Zambia Maoni na Bibbi Abruzzini, Leah Mitaba (lusaka, zambia) Ijumaa, Desemba 06, 2024 Inter Press Service LUSAKA, Zambia, Des 06 (IPS) – Katika miaka michache iliyopita, “zana mpya za udhibiti” zinazoathiri kazi ya mashiŕika ya kiŕaia zimeongezeka, mara nyingi zikiweka aina za “uhalifu wa kiuŕatibu” na “unyanyasaji wa kiutawala”….

Read More

Malori yazua usumbufu Barabara ya Mandela

Dar es Salaam. Foleni ya magari iliibuka Barabara ya Mandela, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 12:00 asubuhi ya Desemba 31, 2025 na kusababisha usumbufu kwa wasafiri na watumiaji wengine wa barabara hiyo. Kutokana na foleni hiyo, magari yalisogea kwa mwendo wa kusuasua, baadhi yakisimama kwa muda mrefu bila kusogea. Chanzo cha foleni hiyo kimeelezwa…

Read More

Watu 13 wauawa katika siku ya kwanza ya maandamano Nigeria – DW – 02.08.2024

Mamlaka nchini Nigeria zimethibitisha kuuawa kwa watu wanne kutokana na shambulizi la bomu na kukamatwa kwa mamia ya waandamanaji, hatua iliyochochea marufuku ya kutotoka nje katika majimbo kadhaa. Soma pia:Polisi Nigeria wafyatua gesi ya machozi kutawanya waandamanaji Katika mahojiano, mkurugenzi wa Amnesty International nchini Nigeria, Isa Sanusi, amesema shirika hilo lilithibitisha kwa njia huru mauaji…

Read More

WAZIRI SIMBACHAWENE AIPONGEZA TARURA KUFUNGUA BARABARA KWENYE MILIMA MIKALI KATA YA MANG’ALIZA

Na. Catherine Sungura, Kibakwe Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameishukuru na kuipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuanza kujenga barabara za zege kwenye milima mikali iliyopo kata ya Mang’aliza-Kibakwe wilayani Mpwapwa. Waziri Simbachawene ameyasema hayo wakati wa ziara ya…

Read More

Wamiliki wa saluni wamtwisha RC Kihongosi zigo la tozo, kodi

Arusha. Baadhi ya wamiliki na wafanyakazi wa saluni za kike na kiume mkoani Arusha wamelalamikia kutozwa kodi na tozo mbalimbali ambazo nyingine wamekuwa hawana uelewa nazo, makadirio ya kodi kuwa makubwa hali inayowafanya kurudi nyuma kiuchumi. Wengine wameiomba Serikali kuwa kada hiyo itambulike na kupatiwa fursa mbalimbali ikiwemo za mikopo inayotolewa na halmashauri, kwani itawasaidia…

Read More