WAZIRI MKUU KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA 20 YA MIRADI YA UMWAGILIAJI
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utiaji saini mikataba 20 ya ukarabati na ujenzi wa miradi ya umwagiliaji baina ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya Kilimo na Wakandarasi jijini Dodoma hapo kesho. Mikataba hiyo ni ya ujenzi na ukarabati wa Skimu 14 pamoja na miradi sita (6) ya…