HakiElimu wazindua Ripoti zitakazowasaidia wasichana waliokatiza masomo yao
NA EMMANUEL MBATILO, DODOMA WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia watatumia matokeo ya tafiti Kuhusu Hali ya Jumla ya Elimu na Makuzi ya Mtoto na Kurejeshwa Shuleni kwa Wasichana Waliokatiza masomo kwasababu ya Ujauzito katika kuhakikisha wanaboresha Malezi na Makuzi ya Watoto pamoja na Elimu ya Wasichana waliorejea shuleni baada ya kujifungua. Hayo yamesemwa Aprili…