RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA RASMI UWANJA WA MPIRA WA MIGUU WA GOMBANI, PEMBA
:::::::: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameufungua rasmi Uwanja wa mpira wa miguu wa Gombani uliopo Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. Hafla hiyo imehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, pamoja na…