Naibu Waziri Mkama Ahimiza Ushirikiano na Uwajibikaji kazini

Na Mwandishi Wetu, WMTH – Mtumba, Dodoma Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb.), amewatak Watumishi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuimarisha ushirikiano kati ya wafanyakazi na Menejimenti ili kuhakikisha haki, motisha na tija vinatimizwa. Amebainisha hayo tarehe 24 Februari, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Baraza…

Read More

TGNP YASISITIZA USAWA WA KIJINSIA KUFIKIA DIRA YA MAENDELEO 2050

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Clara Kalanga Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 115 ya Siku ya Wanawake Duniani. ***** Na Mwandishi Wetu Dar es salaam. Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umesisitiza umuhimu wa kuhakikisha wanawake wanapata haki na usawa ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Maendeleo 2050, ukieleza kuwa maendeleo ya taifa hayawezi kufikiwa ikiwa…

Read More

NMB yatoa fursa ya mkopo hadi Sh500 bilioni kwa mteja mmoja

Dar es Salaam. Benki ya NMB imesema ina uwezo wa kumkopesha mteja mmoja zaidi ya Sh500 bilioni kwa ajili ya kuendeleza shughuli za biashara na uzalishaji ikiwamo kilimo, mifugo, viwanda na madini, kutokana na ukuaji wa mtaji wake. Mikopo hiyo inalenga kuwasaidia wateja kuongeza uzalishaji na hutolewa kupitia suluhu mbalimbali za kifedha kulingana na mahitaji…

Read More

Hii ni safari mpya ya Kagoma Simba

BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea safari yake mpya namna alivyo na kazi ya kuhakikisha mchango wake unakuwa muhimu katika kutimiza malengo ya timu. Kagoma aliyezaliwa Gungu, Kigoma Aprili 3, 1996 na sasa ana umri wa miaka 29), alijiunga na Simba Julai 8,…

Read More

Mukwala anahesabu saa tu | Mwanaspoti

DIRISHA la usajili la usajili linatarajiwa kufungwa usiku wa leo, huku kukiwa na sapraizi kubwa kwa klabu ya Simba baada kutema mastraika wawili walioibeba timu hiyo msimu uliopita, huku winga aliyekuwa akitajwa huenda angefyekwa, akisalimika kama zali. Ipo hivi. Msimu uliopita, Simba iliongozwa eneo la mbele ya washambuliaji Steven Mukwala na Leonel Ateba kila mmoja…

Read More

Chaumma yateua wagombea ubunge, yakacha urais Z’bar

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa hakitasimamisha mgombea wa urais visiwani Zanzibar, huku kikiweka hadharani awamu ya kwanza ya orodha ya makada wake 119 walioteuliwa kugombea ubunge wa majimbo Tanzania Bara. Uamuzi wa Chaumma kutosimamisha mgombea Zanzibar unakuja katikati ya maswali mengi ya wadau wa siasa, waliohoji ni nani atakayepewa…

Read More