MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NAIROBI-KENYA
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Sierra Leone, Mhe. Sheku Fantamadi Baagura, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi…