Serikali kutunga sera ya Taifa ya Haki Jinai
Dodoma. Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2024/2025 imekuja na vipaumbele 15 kutoka 30 vya mwaka 2023/24, ikiwa ni pamoja na kutunga sera ya Taifa ya Haki Jinai. Wizara pia imeeleza namna ilivyoratibu mchakato wa Katiba mpya. Hayo yamesema leo Aprili 29, 2024 na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Pindi Chana…