DKT. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WA TEF
Mjumbe wa kamati ya Utendaji ya TEF Bw.Neville Meena akizungumza na Waandishi wa habari Leo Aprili 28,2024 kuhusu Mkutano wa kitaaluma wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) utakafanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma. Mwandishi Mkongwe na Mwanachama wa TEF Bw. Said Salim Said,akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari kuelekea Mkutano wa kitaaluma wa jukwaa la…