FIFA Yapendekeza Kadi Nyekundu Kwa Wachezaji Wanaofunika Midomo

Global Publishers March 3, 2026 0 Comments Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amependekeza kwamba wachezaji wanaofunika midomo yao wakati wa mabishano uwanjani wapewe kadi nyekundu moja kwa moja. Kauli hii inatokana na hofu kwamba tabia hiyo inaweza kuashiria kauli zisizofaa, hasa zinazohusiana na ubaguzi wa rangi. Pendekezo la Infantino limekuja baada ya tukio lililomkumba nyota…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Usanifu wa Jinsia wa Usaliti: Acha Kutokujali Wasomi – Masuala ya Ulimwenguni

Ulimwengu utakusanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York kwa ajili ya Kamisheni ya Hali ya Wanawake (CSW70)– jukwaa kubwa la kila mwaka la Umoja wa Mataifa linalohusu usawa wa kijinsia na haki za wanawake. Kinachotokea hapa huathiri sheria, sera, ufadhili na uwajibikaji katika nchi na vizazi. Lengo la mwaka huu liko…

Read More

UMD yaahidi ‘mgodi wa machungwa’ Muheza

Dar/Tanga. Chama cha Union Multiparty Democracy (UMD) kimeahidi kuwa endapo kitapewa dhamana ya kuongoza nchi, kitatekeleza mradi wa ‘mgodi’ wa machungwa katika Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, ili kuwanufaisha wananchi wa eneo hilo kupitia kilimo cha zao hilo. Aidha, chama hicho kimeahidi kuondoa adha ya upungufu wa maji kwa wananchi kwa kuwajengea visima katika kila…

Read More

Buswita: mabao yatafungwa Namungo | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa Namungo, Pius Buswita amesema ujio wa Heritier Makambo katika timu hiyo unaongeza nguvu ya ushindani na namba, idadi ya mabao katika michuano yote ya msimu ujao. Buswita katika misimu miwili Namungo, alifunga jumla ya mabao 10, 2023-2024 mabao saba na msimu uliopita alifunga matatu na asisti mbili, alisema kwa kiwango na kipaji…

Read More

SERIKALI YAJIDHATITI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBUFU

…………… Na Saidi Lufune, Rukwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amesema Serikali inaendelea kulinda maisha ya wananchi dhidi ya uvamizi wa wanyamapori wakali na waharibifu hususan Tembo na Mamba kwa wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguuka Hifadhi  Mhe. Chande amebainisha hayo katika Halmashauri wa Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa wakati wa…

Read More

Morocco yatwaa ubingwa wa CHAN 2024, unakuwa wa tatu

Timu ya taifa ya Morocco, ‘Simba wa Milima ya Atlas’ imetwaa ubingwa wa Fainali za CHAN 2024 baada ya kuifunga Madagascar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, Kenya. Hili linakuwa taji la tatu kwa Morocco linaloifanya iwe timu iliyotwaa mara nyingi ubingwa wa CHAN,  ambapo awali ililibeba mara…

Read More

MAKANDARASI WALIA NA SHERIA YA MALIPO

 CHAMA cha Umoja wa Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (TUCASA) kimeiomba Serikali kuanzisha sheria maalum ya malipo katika sekta ya ujenzi ili kusaidia kuimarisha mazingira ya kazi kwa makandarasi wa ndani na kuhakikisha wanapata malipo kwa wakati wanapotekeleza miradi ya maendeleo ya umma. Chama hicho kimesema kuwa uwepo wa sheria hiyo utasaidia kuweka utaratibu…

Read More