Ali Kamwe afunguka ishu nzima ya Pacome, iko hivi
NYOTA wa Yanga, Pacome Zouzoua ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo baada ya kukosekana kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo uliopigwa Machi 17, mwaka huu na kushuhudia Yanga ikifungwa mabao 2-1 kwenye Uwanja Benjamin Mkapa, Pacome alishindwa kuendelea dakika ya 28…