Rais Samia awasamehe wafungwa 1,082
Dar es Salaam. Rais Samia Hassan Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 1,082, ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ametoa msamaha huo kwa kutumia mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(a)-(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutoa msamaha kwa wafungwa kwa masharti maalumu. Taarifa hiyo imetolewa…